Mungu Hakopeshwi
Author | : Alwi Baharoon |
Publisher | : African Books Collective |
Total Pages | : 236 |
Release | : 2017-12-20 |
ISBN-10 | : 9789987449286 |
ISBN-13 | : 998744928X |
Rating | : 4/5 (28X Downloads) |
Download or read book Mungu Hakopeshwi written by Alwi Baharoon and published by African Books Collective. This book was released on 2017-12-20 with total page 236 pages. Available in PDF, EPUB and Kindle. Book excerpt: Riwaya ya Mungu Hakopeshwi inaelezea maisha ya familia moja ya Unguja iliyoingia katika mitafaruku na mikasa mingi. Kila kitu huwa na chanzo na khatima; basi ni nini chanzo cha mitafaruku hiyo na khatima yake ilikuwaje? Simulizi ni juu ya baba, Bw. Ahmed, mwenye hasira kali zisizo na mipaka, aliyeongoza familia yake kwa utashi wa nafsi yake, bila kujali hisia za mkewe wala wanawe. Kumbe moyoni mwake alihifadhi siri, na hiyo siri ndiyo iliyomfanya Bw. Ahmed kuwa mkali bila kiasi, ikimsukuma azuie kurejea kwa yale yaliyomfika zamani. Lakini kivuli cha historia ya maisha yake ya nyuma hakikuacha kumuandama. Riwaya hii i meandikwa kwa lugha nzuri na fasaha, kwa ufundi wa msanii makini na mwelewa wa maisha ya jamii za Kizanzibari na za mwambao kwa jumla.